Ni movie gani ambayo ulishawahi kuiangalia halafu baadaye ukajuta kwanini umeiangalia?

#Life hii mzee nilijuta kuitazama kah!
nimetoka kuiangalia jana usiku, aisee nilijuta kwanini niliiangalia usiku maana nilikua nikifumba macho kulala naona kama nipo kwenye tukio na mimi daaah๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Call me by your name, stupido movie ever, niliona mahali wamezungumzia vizuri(upuuzi wa wazungu) at the same time nyimbo ya Montero ya Lil Nas iko trend, jina la pili ya Montero ni call me by your name. Aisee napenda kuangalia drama tena za 2000s kuja juu lakini hii movie nilijuta kupoteza mbs zangu. Usiangalie upuuzi huu
 
Rogue hostage ya tyres gibson ni worst movie ever
 
Triangle
 
Life ndo ile wanaenda kwenye outer space afu vitimbwi vinaanza?
Yeah.... Ndio ile..... Wanacollect sample kutoka sayari gani sijui halafu wanapata kiumbe kikiwa katika cellular level kinakuwa taratibu na kuwawashia balaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ