Peter Lemi
Member
- Mar 30, 2016
- 39
- 62
yaani baada ya kuiona hiyo picha ndo nikakiri kumbe vita sio kitu kizuri,ni balaa wali nuxiZinapigwa risasi mpaka mtizamaji unashindwa kumezwa mate
Ya siku nyingi kweli, enzi hizo eddy m bado kijana
Kim, lissa[emoji2]
london has fallen.nwOlympus Has Fallen
tehtehKuna Hii Movie Ya Escrow bwana wee..!
Hii mpaka naingia kaburini sitaisahau
Hasa pale usiku bunge lilipokuwa linaendelea chini ya kiranja mkuu Makinda..!
kama blindspot?Seriez kali sana kwa issue ya upelelezi, hivi kitu kipya kimetoka?
Hili moja la movie ninalolikubali sana, hakuna ma animation ya ajabu ajabu ipo real kama kweli vile. Alafu Based on true story!Lone survivor