Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Kuna ile ya magaidi kwenye Mapango ya Amboni, Staring akiwa ni Kamanda Kova.

Tukiachana na hayo, kuna movie Hizi.
1. Transporter 1 na 2, Staring akiwa Jason Statham.
2. Section 51, Staring akiwa vin diesel na wenzake. Zipo nyingi, nyingine nitaongezea baadaye.
Hapo kwenye diesel kiongozi, re-check
 
sikutarajia kama ntakutana na bongo movie kwenye list yako mzee. yani pamoja na movie zoooote ulizowahi kiziona na bongo movie ni moja kati ya ambazo hautazisahahu?wewe co mpenzi sana ww movie au la umeanza kupenda movie juzi juzi....umenisononesha sana
acha hizo..
hata kama hupendi mwenzako akipenda kuna tatizo?
 
Mrs doubt fire. Pamaja na kuwa na story nzuri laakini inachekesha pia.

La harvie est bel sterling marehemu Papa wemba. Ikielezea historia ya maisha yake.
 
Back
Top Bottom