Najaf
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 1,505
- 2,393
Mkuu kitambo hicho kideo hakipatikani kwa mtaa tunaenda vibanda umiza,,shs 10 picha 2,,shs 4 ,,sehemu zingine ukinunua askirimu,,,au tunapanga mawe dirishani kwa kina Haji Chogo,,,halooo sikia tu enzi za TV Chogo aibuuuu,,,kipindi hiko DTV, CTN Tom N Jerry,, Na ITV aibuuuSarafina hatukuwa na TV Dada yang alinisimulia
Kiu na shauku ilinitesa sanaaa ya kuiona. HATIMAYE NIKAIONA