Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

1.The Eagle has landed- Michael Caine
2.First blood-Silvester Stailon a.k.a Rambo
3.The Mechanic-Charles Bronson
 
Bongo, dangerous desire, naipenda mpaka kesho,,

Za nje; we were soldiers
 
kuna mwenye update ya series zifuatazo anisaidie link.Robbin hood niliishia season 4,arrow season 4,daredevil season 2
 
sikutarajia kama ntakutana na bongo movie kwenye list yako mzee. yani pamoja na movie zoooote ulizowahi kiziona na bongo movie ni moja kati ya ambazo hautazisahahu?wewe co mpenzi sana ww movie au la umeanza kupenda movie juzi juzi....umenisononesha sana
Wabongo mbona hamuthamini kilicho chenu kazi kubeza tu na vijembe vingi hatutafika jikubali ww ndio umkubali hiyo movie aliyosema mkuu ni kali itafute mkuu..
 
Back
Top Bottom