Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine

Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia
Pia kuna
Captain Philips bonge la movie
Death race
Kuna moja mauwaji ya #Rebel
Hivi za bongo movie au maigizo?
Sijui kama zile movie,, labda tamthiliya,,
 
Inafanana sana na white house down ya jamie fox,
Ya Jamie fox imekaa kikomedi itasubiri sana,,,mle kuna wanagonga balaaa panya road wenyewe wanawaogopa,,,vitasa viliwahusu hadi mademu,,,risasi za mle zipo 100* zaidi ya zile za bongo tamthiliya
 
Ziko nyingi lakini hizi tatu ni funika bovu king of banking
Ip man ya kichina
Blind spot
 
kuna mmuvi flan ivi hatari umo, yan mmuvi flan ivi yan kwenye huo mmuvi wanagonga ngumi humo yan hatari huo mmuvi kuna shaba za ajabu umo. mmuvi flan ivi starring anaruka miteke mingi mingi, alafu kubwa la maadui anakufa kwa moto, yan uo mmuvi akuna.
fanyeni muutafute uo mmuvi wadau...!
 
Sarafina hatukuwa na TV Dada yang alinisimulia
Kiu na shauku ilinitesa sanaaa ya kuiona. HATIMAYE NIKAIONA
 
Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine

Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia
Pia kuna
Captain Philips bonge la movie
Death race
Kuna moja mauwaji ya #Rebel
vivian ya mrs sadifa nimekimbilia kuiangalia linivyokuta wastara nikakimbia mbio zili zili nilizoingilia
 
JOHN Q-DENZEL WASHINGTON
MEN IN FIRE- DENZEL WASHINGTON
DESPERADO-ANTONIO BENDARAS
GODFATHER SERIES-ALPACHINO
ZA MZEE MAJUTO ZOTE....
 
Back
Top Bottom