Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Tafuta hizi movie kama bado
The next three days: Hii movie jamaa mke wake anahukumiwa kifungo gerezani kutokana na mauaji yaliyotekea kwa ushahidi wa kimazingira anacheza na mbinu za kumtorosha gerezan na kuhama mji mission inatakiwa baada ya 3 days. Movie haina action sana lakin inastory tamu.
Why him: comedy movie ambayo binti anaipeleka familia kwa jamaa anaetaka kumuoa huyo jamaa anavituko na visanga hadi mzee anamuuliza bintiye why him.
Me before you: Kama bado hujaiona hii movie jaribu kuiangalia ni story nzuri sana binti anatafuta kazi akapata kwa kijana tajiri mmoja ambae ni mlemavu so anatakiwa amdrive amtake care for everything inahuzunisha kidogo.
Kwa leo ni hizo tu, nitarudi za action ila ukiwaeka movie hapa jaribu kutoa na details kidogo sio kumention movie 50 zinaonekana kama ni playlist ya nyimbo hadi uvivu kuzisoma na.kutafuta
 
ngoja nitafute hiyo THE NEXT THREE DAYS napenda movie za akili nyingi
 
big black ass...
camel toe....
parities of caribian...
 
ni black mirror:BANDERSNATCH ITABAKI KUWA JUU
th
th
fotonoticia_20190103165346_640.jpg
 
STRIKE BACK....kuna wakali kama Scott, Michael stonebridge,john porter,coronel........ni sheedah
 
Habarini ndugu zangu Wana JF.
Kama kichwa kinavosema hapo juu KILA mmoja mpitia uzi huu ataje muvi kali alizowahi kuangalia maishani
KWA upande wangu :
1.Vagabond
2.Prison break
3.IRIS
4.EXPENDABLE
5.Fast and Furious
6.Bullet train
Hizo ni baadhi ya muvi kali nlizowahi kuangalia karibuni nanyi mtaje pia
 
Back
Top Bottom