Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,288
Tafuta hizi movie kama bado
The next three days: Hii movie jamaa mke wake anahukumiwa kifungo gerezani kutokana na mauaji yaliyotekea kwa ushahidi wa kimazingira anacheza na mbinu za kumtorosha gerezan na kuhama mji mission inatakiwa baada ya 3 days. Movie haina action sana lakin inastory tamu.
Why him: comedy movie ambayo binti anaipeleka familia kwa jamaa anaetaka kumuoa huyo jamaa anavituko na visanga hadi mzee anamuuliza bintiye why him.
Me before you: Kama bado hujaiona hii movie jaribu kuiangalia ni story nzuri sana binti anatafuta kazi akapata kwa kijana tajiri mmoja ambae ni mlemavu so anatakiwa amdrive amtake care for everything inahuzunisha kidogo.
Kwa leo ni hizo tu, nitarudi za action ila ukiwaeka movie hapa jaribu kutoa na details kidogo sio kumention movie 50 zinaonekana kama ni playlist ya nyimbo hadi uvivu kuzisoma na.kutafuta