Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

Pia Kuna Movie Nyingine Ya Kitambo Ya Hollywood Ilikuwa Shooted TZ Tanga. Inahusu Masokwe! Hiyo Movie Jina Limenitoka!
Movie flani ya Angelina Jolie kuna vipande virikuwa shooted Kenya na Kilimanjaro! Nimeisahau jina.

Jennifer Lopez & Abraham Mateo (A Cama Lenta) Music Video kuna scenes zimekuwa shooted Mwanza na Bukoba near Lake Victoria

Kiesza - Mistress (Dar es Salaam, Zanzibar and Mafia

Zipo nyingi tu
 
Kuna movie moja ya kijapani inaitwa bushido man, staring alipigwa kikali akaanguka chini alafu maandishi ya casting yakaanza kupanda juu. Nikaanza kujiuliza inamaana adui ndio kabaki hai halafu staring kafa, nikashangaa staring kashika maandishi ya casting anayarudisha chini akasimama tena kupapana na adui mpaka adui alipokufa ndio movie ikaisha
 
Hahaha! Hiyo Kali!
 
The Matrix.. My best movie of all time..
Avenger infinity war.. Thanos amewaua staring with finger snap...
Labda tungoje tuone part 2 wagafufukia wap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…