Ni movie gani unaitafuta bila mafanikio

Ni movie gani unaitafuta bila mafanikio

Mpondoshilla

Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
36
Reaction score
132
Mimi naitafuta movie moja ya kinaigeria inaitwa sioma the monster, kwenye cd ilikuwa ipo pamoja na movie inaitwa ibu the school, mwenye kujua sehemu ya kuipata anitumie hata link ni singo movie sio season, na inapoanza kunakuwaga na wachungaji wawili wanahubiri mtaani, halafu kuna wadada wanaanza kuwacheka
 
Kwa upande wangu naitafuta muvi moja ya kweli amercan with irak miaka ya 2000-2007 hapa kati ni real cyo maigizo. Anayeijua vema aniandikiye vema hapa. Nakumbuka zilipigwa hadi mwisho askari wa marekan walibaki na visu na mbinu mbadala tu.
 
Mimi naitafuta movie moja ya kinaigeria inaitwa sioma the monster, kwenye cd ilikuwa ipo pamoja na movie inaitwa ibu the school, mwenye kujua sehemu ya kuipata anitumie hata link ni singo movie sio season, na inapoanza kunakuwaga na wachungaji wawili wanahubiri mtaani, halafu kuna wadada wanaanza kuwacheka
Anayejuwa muvi kali za kivita ful battle, heavy weapons ndani ya magwanda kazi kazi aniorodheshee hapa nikatafute tafadhali.
 
Mwenye link ya movie ya american ninja part1-4
 
Watu wote (ni movie ya wakenya)

Avatar the last airbender part 2

Vute nikuvute
 
Mimi naitafuta movie moja ya kinaigeria inaitwa sioma the monster, kwenye cd ilikuwa ipo pamoja na movie inaitwa ibu the school, mwenye kujua sehemu ya kuipata anitumie hata link ni singo movie sio season, na inapoanza kunakuwaga na wachungaji wawili wanahubiri mtaani, halafu kuna wadada wanaanza kuwacheka
The memories of midnight
 
Nahitaj link ya movie ya kibongo inayoitwa shenaiza...
Hii SHENAIZA (Jeraha la moyo ullipata)? Mimi pia naitafuta sana.

Movie nyingine nayoitafuta ni SANDRA aligiza haji Adam iliigizwa MABiBO Hostel miaka hiyo.
 
Mwaka 1997 tulionyeshwa movie ya Mandela yupo gerezani sijui jina niliona M-net, pia ya kihindi wahusika ni shubangi na madhuu nzuri sana sema sijaona majina ni M-net hiyo.
 
Mimi naomba majina ya series za gangs wanaofanya dili chafu kama drugs, human trafficking, silaha za magendo na umafia kwa sana mfano gangs of london, the gangs land n.k
 
Back
Top Bottom