Mpondoshilla
Member
- Jul 4, 2022
- 36
- 132
Kwa upande wangu naitafuta muvi moja ya kweli amercan with irak miaka ya 2000-2007 hapa kati ni real cyo maigizo. Anayeijua vema aniandikiye vema hapa. Nakumbuka zilipigwa hadi mwisho askari wa marekan walibaki na visu na mbinu mbadala tu.Mimi naitafuta movie moja ya kinaigeria inaitwa sioma the monster, kwenye cd ilikuwa ipo pamoja na movie inaitwa ibu the school, mwenye kujua sehemu ya kuipata anitumie hata link ni singo movie sio season, na inapoanza kunakuwaga na wachungaji wawili wanahubiri mtaani, halafu kuna wadada wanaanza kuwacheka
Anayejuwa muvi kali za kivita ful battle, heavy weapons ndani ya magwanda kazi kazi aniorodheshee hapa nikatafute tafadhali.Mimi naitafuta movie moja ya kinaigeria inaitwa sioma the monster, kwenye cd ilikuwa ipo pamoja na movie inaitwa ibu the school, mwenye kujua sehemu ya kuipata anitumie hata link ni singo movie sio season, na inapoanza kunakuwaga na wachungaji wawili wanahubiri mtaani, halafu kuna wadada wanaanza kuwacheka
American soldiers: A day in Iraqanayejuwa muv kali za kivita ful battle,heavy weapons ndan ya magwanda kazi kazi aniorodheshee hapa nikatafute tafadhali.
asante..Kama wazijuwa zaid nitashukur napendaAmerican soldiers: A day in Iraq
asante sana nazitafuta ila kwa msaada hizo 2 za mwisho zimetoka mwaka gani ili iwe rahisi kuzipata.The Secret na 13Hrs in Benghaz
The memories of midnightMimi naitafuta movie moja ya kinaigeria inaitwa sioma the monster, kwenye cd ilikuwa ipo pamoja na movie inaitwa ibu the school, mwenye kujua sehemu ya kuipata anitumie hata link ni singo movie sio season, na inapoanza kunakuwaga na wachungaji wawili wanahubiri mtaani, halafu kuna wadada wanaanza kuwacheka
Hii SHENAIZA (Jeraha la moyo ullipata)? Mimi pia naitafuta sana.Nahitaj link ya movie ya kibongo inayoitwa shenaiza...
Unanikumbusha mbali sanaNatafuta movie ya kibongo inaitwa SHENAIZA ya zaman sana