MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Hatari sanaHii movie hadi leo naogopa kuiangalia kwa maana ile mijaredi utadhani ukweli aisee daah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sanaHii movie hadi leo naogopa kuiangalia kwa maana ile mijaredi utadhani ukweli aisee daah
Mbonge la movie ✅Queen of the south
Ni mke wa Walter white sio wa hankOyooooooo, we mjanja mwanaaaa.
Mimi baada ya mke wa hank kununua car wash na mimi nae nikawa inspired na kufungua car wash...hahahaj
Ngoja ntaitafutaMbonge la movie ✅
Kuna movies ukiangalia inaacha mark katika maisha yako.
Inakuwa sio tena entertainment, inakuwa fundisho, motivation, inspiration na luckily inabadilisha mtazamo wako juu ya maisha na jinsi gani ya kuhandle life as a whole.
Mimi ziliowahi kuni impact pakubwa ni:
1: Shawshank Redemption:
Amid na kufungwa jera kwa kifungo cha maisha kwa kosa ambalo hakufanya. Jamaa hakunung'unika wala kujikatia tamaa ila alibaki kuwa honest na class kama jinsi alivyokuwa awali huku akiplan kutoroka kwa miaka ishirini kwa
A walk to remember bhana hii movie itaendelea kuwa movie yangu pendwa kwan ni movie ya mwisho kuiangalia mm na mama b4 hajachukuliwa dunian..huwa nikiiangalua lzm nitoe machozpursuit of happyness
a walk to remember
curious case of benjamin button
gifted hands
49 days (korea series)
Kuna movies ukiangalia inaacha mark katika maisha yako.
Inakuwa sio tena entertainment, inakuwa fundisho, motivation, inspiration na luckily inabadilisha mtazamo wako juu ya maisha na jinsi gani ya kuhandle life as a whole.
Mimi ziliowahi kuni impact pakubwa ni:
1: Shawshank Redemption:
Amid na kufungwa jera kwa kifungo cha maisha kwa kosa ambalo hakufanya. Jamaa hakunung'unika wala kujikatia tamaa ila alibaki kuwa honest na class kama jinsi alivyokuwa awali huku akiplan kutoroka kwa miaka ishirini kwa uvumilvu na utulivu.
2: Forrest Gump:
Hii ilinifundisha haijalishi ni jinsi gani ulivyo na jinsi unavyochokuliwa na jamii ila ndani yako kuna kitu special cha kubadirisha maisha yako na watu wanaokuzunguka.
3: The Green Mile:
Kwa watu wanaonekana negative sana mbele ya jamii kwa maana waendani na mitazamo yao, unakuta ndani yao ni watu special sana na wakukuwezesha kupiga hatua flani.