Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

Umenikumbusha pirates of Caribbean na the lord of the rings lakin pia kuna cowboy and alien ya James bond hii movies naikubal sana
Pirates of Caribbean naikubali sana... Nimejaribu mno kumcheki lord of the rings nimeshindwa kumaliza saa nzima sijui shida nn
 
Kuna kitu inaitwa black sails... Mwishoni huko ndo wakazingua na mambo yao ya upinde
 
1. Enemy of the State
2. The book of Eli
3. Desperado
4 . The Departed
5. Ocean's 8
6. See no evil, hear no evil
7. Face/Off
8. Shotgun Wedding
9. The Bad Guys
10. There's something about Mary
 
1. Godfather -Al Pachino/Mario Puzo 2.From Dust till Down- Quarantin Tarantino.
3. House Party- Kid n' Play.
4. Coming America - Eddy Murphy
5.Ong Buk
 
The Godfather
The Godfather II
The Godfather III
MV5BM2MyNjYxNmUtYTAwNi00MTYxLWJmNWYtYzZlODY3ZTk3OTFlXkEyXkFqcGdeQXVyNzkwMjQ5NzM@._V1_.jpg
 
Mniga analiwa na mamba,,,
Komando kipensi,,
Dame anatoroka jeshini,,
Govinda la yaya,,,
Palanawee,,,
Anodi la jeni,,,
Chuck nolis na babu yake,,
Amza kanuni,,,
Dame na tom poo,,,
Bila kusahau picha la yesu,,,
N. B hawa kina Brad Pitt, Tom cruise, Nicole kidman japo kitambo wanaigiza ila mie nimekuja kuwajua juzi baada ya kukaa maskani na watoto mboga saba ugali kitenesi,, mie niambie bolo yanki, mzee ashanti, mzee chilele, Carlos, mathias nk.
 
Back
Top Bottom