Ni mpambano mkali kati ya Jokate na Makonda

Ni mpambano mkali kati ya Jokate na Makonda

Wanaongea kwa chuki tu kujifurahisha,lakini Joketi kwa Makonda ni mtoto mdogo sana,Labda ingekuwa mama Kairuki kidogo.Makonda anakubalika sana na mtawala,nadhani ni number 1 mana kama ilishindikana kwa Ruge aliyekuwa karibu na watawala wote sembuse Hutu bint Xgirlfriend wa Kiba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeaah na izi nyuzi zinazoshamili uku mitandaoni. Jokate akizuga kuendeleza hiz kelele, atajikuta kaukosa na UDC .


Huyu Bashite anajua mengi ya Baba yake..na Baba yake anajua mengi ya Bashite na hata kumtumia Bashite... Hawa wawili ni wanaongea nakula chungu kimoja.

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Back
Top Bottom