Uchaguzi 2020 Ni mpambano wa mwenye roho ya ushindi vs roho ya kushindwa

Uchaguzi 2020 Ni mpambano wa mwenye roho ya ushindi vs roho ya kushindwa

Joined
Feb 18, 2019
Posts
53
Reaction score
539
Historia ni mwalimu mzuri sana. History is good predictor of the future.

Kuna mgombea historia yake ni ya kushindwa tuu. Ushindi wake mara nyingi ni wa kufosi na kutumia nguvu nyingi. Huyu mgombea pia anaonekana kuogopa sana umauti kwani kila anapoenda ana ulinzi mkali ambao haujawahi kushuhudiwa katika historia ya viongozi wa nchi hii. Hiyo inaonesha hata ktk ulimwengu wa kiroho hana ushindi.

Kuna mgombea historia yake ni ya ushindi tuu. Hajawahi kutumia maguvu kwenye ushindi. Pia ana historia kubwa kuliko zote ya kushinda mauti ktk mazingira ambayo ni muujiza. Ktk ulimwengu wa kiroho huyu tayari ni mshindi.

Ukiona mpaka manabii wameoneshwa na Mungu ktk ndoto zao kwamba huyu mtu ni mshindi basi hakuna wa kuzuia hilo.

"Roho ya kukataliwa haishughulikiwi kwa kuikimbia. Ukiikimbia itakufuata tu kwenye maisha yako/huduma yako. Paulo/Sauli aliwakimbia Wayahudi na akaenda kujiunga na wanafunzi wa Yesu, nao wakamkimbia.(Matendo 9:20 – 26); 23 Hata siku nyingi zilipopita, Wayahudi wakafanya shauri ili wamwue; 26 Na Sauli alipofika Yerusalemu, alijaribu kujiunga na wanafunzi, nao walikuwa wakimwogopa wote, wasisadiki ya kuwa yeye ni mwanafunzi.
 
Nothing more nothing less...[emoji850][emoji850]
 
Hahahaha [emoji23],

Umeandika takataka. Nonsense [emoji23]


Nabii akitabiria upinzani. Huyo ni wa Bwana. Kwa chama tawala atapewa majina kibao.

Huyo nabii alikuwa na mihemko!
 
kumbe ndiyo maana hapendi kabisa kukosolewa au kusahihishwa na hasa pale anapo kosea……………....kumbe hajiamini na hawaamini 'wenzie'
 
Back
Top Bottom