Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa.
Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha Hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili na kufanikisha mambo yao.
Mvutano huu ndio unaogombea nafasi ya urais kupitia CCM mwaka 2025 huku kundi la hayati JPM likisema kuwa kiongozi wa sasa hafai na anaunga mkono baadhi ya mawaziri mafisadi. Kwa hakika mpaka sasa ni mpasuko mkubwa zaidi ya pasuko la nazi iliyovunjwa.