Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Bado mapema sana itafahamika tu.Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa.
Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili na kufanikisha mambo yao.
Mvutano huu ndio unaogombea nafasi ya urais kupitia Ccm mwaka 2025 huku kundi la hayati JPM likisema kuwa kiongozi wa sasa hafai na anaunga mkono baadhi ya mawaziri mafisadi. Kwa hakika mpaka sasa ni mapsuko mkubwa zaidi ya pasuko la nazi iliyovunjwa.
.Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa.
Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili na kufanikisha mambo yao.
Mvutano huu ndio unaogombea nafasi ya urais kupitia Ccm mwaka 2025 huku kundi la hayati JPM likisema kuwa kiongozi wa sasa hafai na anaunga mkono baadhi ya mawaziri mafisadi. Kwa hakika mpaka sasa ni mapsuko mkubwa zaidi ya pasuko la nazi iliyovunjwa.
Hayo ni kweli kabisa, mshikaji wangu mama yake anacheo sna pale ccm huwa anasema CCM kuna hali mbaya kuna makundi 2 afu sasa yote yana nguvu tatizo ni kwamba moja ndo linanguvu ya m/kiti. Leo tumeona mama alivowaka kapaniki sana. Na kifo cha JPM soon tutajua tuache waendelee farakana kama popcorn
I think wewe ndio mjinga..Ujue nini kwenye kifo cha JPM zaidi ya corona? Acheni ushamba na kudharau corona! Corona haipendi wabishi na wajinga
Ujue nini kwenye kifo cha JPM zaidi ya corona? Acheni ushamba na kudharau corona! Corona haipendi wabishi na wajinga
Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa.
Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili na kufanikisha mambo yao.
Mvutano huu ndio unaogombea nafasi ya urais kupitia Ccm mwaka 2025 huku kundi la hayati JPM likisema kuwa kiongozi wa sasa hafai na anaunga mkono baadhi ya mawaziri mafisadi. Kwa hakika mpaka sasa ni mpasuko mkubwa zaidi ya pasuko la nazi iliyovunjwa.
Ujue nini kwenye kifo cha JPM zaidi ya corona? Acheni ushamba na kudharau corona! Corona haipendi wabishi na wajinga
I think wewe ndio mjinga..
Corona haina hizo sifa za kupenda kama wewe na emotion zako.
Mtasingizia sana upigaji nyie sukuma gang kumbe mlitaka kuigeuza Tanzania Burundi wapuuzi nyie. Rudini kwenu Burundi naona mmeumia sana mtu wenu Ndugai kupewa makavu? Na bado Mtaondolewa mmoja mmoja
Hao wote waliokufa na mkadai ni corona waliidharau?Endelea kuidharau sasa ikufundishe Kama ilivyomfundisha msukule wenu