Ni mpasuko mkubwa ndani ya CCM, kifo cha Hayati Magufuli chatajwa kuwa sababu

Mnaruhusu apate uraisi halafu mnampa na uenyekiti wa chama ndo vita vianze? Kazi mnaifanya kuwa ngumu sana.
 
Na huku upo mkuu
 
Kaa ukijua tu Samia ni Mkuu wa nchi, Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu

Hapa sijakuwekea mwenyekiti wa CCM.

Endelea kupambana na Samia ukidhani utambana na Samia peke yake mpuuzi wewe!
Sukuma gang wana misimamo..hawajawahi kuyumba..udhaifu kwao ni mwiko…wakisema A ni A, B ni B…utajua hujui..

#kataawahuni
 
Ujue nini kwenye kifo cha JPM zaidi ya corona? Acheni ushamba na kudharau corona! Corona haipendi wabishi na wajinga
Subiria kuumbuka wewe ukweli daima hujitenga na uongo na udhalimu...Mlitembelea kiki ya Covid ila ukweli utafahamika soon
 
If so kwa nini anawatoa kwenye uwaziri baadhi yao?
Kama aliwateua kwa mapenzi yake atawatoa kwa mapenzi yake, ya nini kuongozana na watu unaohisi wanakuhujumu.

Madamu havunji katiba na sheria za nchi.
 
Itasikitisha sana endapo hizo taarifa zitakua na ukweli...
 
Mimi ni ccm damu,but baada ya kifo cha Magufuli nilihamishia nguvu zangu Chadema, ila sasa Chadema wenyewe hawajui wanataka nin,huu ndio ulikua muda wa wao kujichukulia nchi kiulaini.
 
Mtajiju mnaotegemea kuishi kwa nguvu na akili za rais na serikali yanu.
 
Mimi ni ccm damu,but baada ya kifo cha Magufuli nilihamishia nguvu zangu Chadema, ila sasa Chadema wenyewe hawajui wanataka nin,huu ndio ulikua muda wa wao kujichukulia nchi kiulaini.
Wewe unataka nini kwanza?
 
Kaa ukijua tu Samia ni Mkuu wa nchi, Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu

Hapa sijakuwekea mwenyekiti wa CCM.

Endelea kupambana na Samia ukidhani utambana na Samia peke yake mpuuzi wewe!
Sasa neno mpuuzi hapo lina faida gani? Do not panic, it is well with Tanzania
 
You are right100 %
 
Wacha wachapane...
 
Mimi ni ccm damu,but baada ya kifo cha Magufuli nilihamishia nguvu zangu Chadema, ila sasa Chadema wenyewe hawajui wanataka nin,huu ndio ulikua muda wa wao kujichukulia nchi kiulaini.
Hivi kuna mkurya mqenye akili timamu kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…