Ni mpasuko mkubwa ndani ya CCM, kifo cha Hayati Magufuli chatajwa kuwa sababu

Kwasababu na wewe ni mmoja wao, mnachekesha na kujichimbia mashimo wenyewe. Hakuna mtu mwenye uwezo wa kupambana na m/kiti kama naye anagombea. Na msijisahulishe kuwa itapritiwa form moja tu
 
Nini hatima ya Mzee Mdee iwapo Spika ataondolewa??
 
Mkweli mkurungw
 
MUNGU ANAPOTAKA KUWAKOMBOA WATU WAKE KWANZA ANAWAFARAKANISHA MAADUI.....
 
Niwafungueni tuu macho kama mlikua hamjui.....

2015 CCM walikuwa wamempitisha Emmanul Nchimbi ndio agombee uspika. But Kwa kuwa alitamka waziwazi kuwa hamtaki magufuli
Basi magufuli akalazimisha jina lake lienguliwe Katika kinyanganyiro Cha uspika ( Nani wa kimpinga rais??).... Sasa fununu kuwa JJ NCHIMBI karudishwa bongo tokea kule kifungoni ubalozini Brazil Ili aje kuchukua USPIKA wake Toka Kwa JOBO. Muelewe ndugai sio mjinga kuropoka vile. Yeye na timu yake walikua wanatafuta timing tuu ya kuuasoma mchezo... Na kingine timu MSOGA walikua wanatafuta tuu ajikanyage wamlipue.

N.b
Usishangae wabunge wa ccm wakaanzisha kampeni za kutokuwa na Imani na spika. ( Sababu kubwa ikiwa ni wale wabunge 19 maarufu kama COVID-19) yetu macho tuendelee kuusoma mchezo taratibu
 
Yavurugane tu tena sana haya makijani kibichi yatajijua yenyewe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…