baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Anayedhania kwamba anaweza ukiua chadema basi umeua upinzani huyu ni mpumbavu, ni lofa hajitambui. Huyu anaeweza kuiua chadema labda kuzania anaweza kupumua kwasababu chadema haitakuepo huyu ni lofa, ni mpumbavu.
Chadema ni platform ya wananchi kutolea hasira na ndo chama kilichoaminika kwa wananchi kwa kuamua kujitenga na vyama vile vya kwenye flash.
Kusema kwamba utaiua chadema kwa kupandikiza mamluki kwamba mtakua mmemaliza upinzani mnajidanganya uchaguzi wa chadema ulifanyika kwa uwazi Kila mtu aliona mwenyekiti na makamu wake walipatikana kwa HAKI kwa kupitia box la kura.
Mnapambana kupandikiza migogoro ya kipumbavu naweza kusema ambayo haina tija pesa mnazotumia kununua watu kupandikiza migogoro nawashauri mngeitumia kutatua kero za wananchi kupambana na ufisadi nyakati zinabadilika kwa sasa solution sio kuiua chadema hiyo ni big mistake au ni first class mistake.
Kwa sasa nachoweza kuwashauri pambaneni kutatua zile kero ambazo zinafanya kupendwa chadema hiyo ndo best solution.
Tofauti na hapo kufuta chadema au kuisababishia migogoro chadema na kusambalatika na kutazalisha vikundi vya kigaidi watu watakosa pakumulia maana hakuna chama kingine kitaweza kuaminika kwa wananchi yale mambo ya zamani kupachika mamuluki wawe viongozi wa vyama yamepitwa na wakati wananchi ufahamu unazidi kua mkubwa sana naweza kusema CCM inaitaji chadema kuliko chadema inavyoitaji CCM.
Kama tu chadema kutoshiriki uchaguzi mpaka leo tunalalamika kwamba ndo waliosababisha yaliyotokea October 29. Vipi chadema leo kiwe kimefutwa au kimeingia kwenye migogoro ambayo wananchi wanajua ni plani za serikali matakua mmeongeza chuki dhidi yenu. Tatizo la serikali ya chama cha CCM ni kujua kwamba wananchi labda ni wajinga hawajui chochote.
Huwezi kutumia falsafa ya zamani au mbinu ya zamani karne hii kukabiliana na upinzani ukafinikiwa Never ever zama zimebadilika SIASA za ulaghai zimepitwa na wakati au cheap propaganda zimepitwa na wakati. Best solutions ni kufanyia kazi yale yote ambayo wapinzani wanapigia kelele wapinzani wanazaliwa kila kukicha