Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Sio yeye, huyu ni mwembamba alaf kaenda hewani japo kakaa, miguu inaonesha ni mrefu kweliatakuwa gigy money
SijakupataCc @CloudsMedia
ni meriana msanii kutoka uganda i think rafiki wa tidHabari wadau.
Nipo benki Fulani napata huduma muda huu saa sita na dk 16 mchana. Wamefungulia clouds TV ila sauti hakuna. Kuna mgeni wa kike kavaa kigauni chekundu na viatu vya haja. Huyu mmmmmmhhhh mashalaaahh.
Ni nani huyu kwa mnaoangalia TV?
Asante mkuuni meriana msanii kutoka uganda i think rafiki wa tid
Nilikuwa natoa cash, ntaingiaje ndani ya benki bila sabae. CRDB BankMkuu huko benki gani? Unatoa cash umefuata maswala mengine tu?