Ni msanii gani huyu anahojiwa Clouds TV?

Ni msanii gani huyu anahojiwa Clouds TV?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Habari wadau.

Nipo benki Fulani napata huduma muda huu saa sita na dk 16 mchana. Wamefungulia clouds TV ila sauti hakuna. Kuna mgeni wa kike kavaa kigauni chekundu na viatu vya haja. Huyu mmmmmmhhhh mashalaaahh.

Ni nani huyu kwa mnaoangalia TV?
 
ni meriana msanii kutoka uganda i think rafiki wa tid
 
Mkuu huko benki gani? Unatoa cash umefuata maswala mengine tu?
 
Back
Top Bottom