Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Habari wadau.
Nipo benki Fulani napata huduma muda huu saa sita na dk 16 mchana. Wamefungulia clouds TV ila sauti hakuna. Kuna mgeni wa kike kavaa kigauni chekundu na viatu vya haja. Huyu mmmmmmhhhh mashalaaahh.
Ni nani huyu kwa mnaoangalia TV?