ni msanii gani mwenye fan base mkubwa hapa Bongo

ni msanii gani mwenye fan base mkubwa hapa Bongo

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Kibongobongo ni msanii gani ambaye aana mashabiki wengi zaidi ya wengne mwenye takwim aniambie maana swali hili huwa linanikanganya sana
 
lazima uweke vigezo.............
kwenye mitandao ya kijamii?wahudhuriaji wa show?...wanunuzi wa kazi zake ama?
 
lazima uweke vigezo.............
kwenye mitandao ya kijamii?wahudhuriaji wa show?...wanunuzi wa kazi zake ama?
Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii, show na wanunuaji wa kazi zake so plus zen utoe conclusion nani anarun the industry

Yaani ata akiandaa concert watu wanajaa
 
Kwa Tanzania..Alikiba
Kwa Africa...Diamond
Kwa wanawake..Vmoney
Kwa bongo muvie..Wema Sepetu
Kwa taarab KE..Isha mashauzi
Kwa taarab ME..Mzee Yusuph
Umetumia kigezo kipi mkuu kuconclude ivo
 
Umesahau, swali lilitakiwa kuwa, kibongobongo ni msanii gani anaongoza kwa madai ya kurogwa, watu kutumia pesa nyingi juu yake na kuzimiwa mic?
 
Umesahau, swali lilitakiwa kuwa, kibongobongo ni msanii gani anaongoza kwa madai ya kurogwa, watu kutumia pesa nyingi juu yake na kuzimiwa mic?
Hahahahahahaaaaaa we kaka mshali sana eeeh
 
Back
Top Bottom