ni msanii gani mwenye fan base mkubwa hapa Bongo

ni msanii gani mwenye fan base mkubwa hapa Bongo

Bongo flava na bongo movie hawo wanasaiasa cna tym nao
OK basi iko hivi:
1. Diamond
2. Wema Sepatu
3. Ally Kiba
Kigezo ni ushindi wa Ally Kiba kwenye Kili Music Award ziliungana team tatu kumpa ushindi King Kiba, I mean team Wema, team Kiba na team Joketi. Ila inasemekana bado Kiba alimshinda Diamond kwa kura chache sana.
 
Ahsante kwa mawazo yako mkuu
 
Karibu sana, ila pia angalia followers kwenye social media. Vile vile angalia viewers kwenye songs za wasanii. Diamond amewaacha wenzie mbali sana tena kwa gap kubwa. Hapa nazungumzia ndani ya Tanzania tu, manake kwa nje hao wakina Kiba na Wema sidhani hata kama watakuwa wanajulikana
 
Je kwenye zile top ten za eatv mbona ngoma za kiba ndo zinaongeza kwa kupigiwa kura au na panyewe team wema wanachangia
Sijawahi ziona, ntazifuatilia, ndio maana hata pale kwenye maelezo yangu nimesema washabiki wa Ali ni Ving'ang'anizi nadhani hapo sasa umeelewa
Hivi leo hii utauweka wimbo wa aje kwenye top 10 tym hii kweli!!
 
Ali Kiba hana mashabiki wengi ana mashabiki ving'ang'anizi, wanajua kupiga kelele na kulaumu, wanajua kutoa povi sana. wamefanikiwa kubishan na wasanii wanao toa nyimbo 3 kwa mwaka huku wao wakitumia wimbo m 1 wa aje. Wamefanikiwa kushindana na msanii mwenye tuzo za MTV wao wakitumia tuzo za Kilimanjaro. Sidhani kama ana washabiki wengi bongo kumzidi domo, ila ana washabiku wenye kelele. So domo ndo ana mashabiki wengi

*sijasema ni Ali ni msanii mbaya naomba hilo lieleweke
Cc supermarket
Cc hance mtanashati
kwani ukimwita diamond utakufa???.... adi umwite Domo?? ifikie mahali tuheshimu uumbaji wa mungu
 
kwani ukimwita diamond utakufa???.... adi umwite Domo?? ifikie mahali tuheshimu uumbaji wa mungu
Usmind mkuuu
Siongei kama insult mkuu
Mi ndio namuitaga hivo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usmind mkuuu
Siongei kama insult mkuu
Mi ndio namuitaga hivo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
unaboaga mshikaji sema hua,nakuchora tu sio fear bana

au na ww tuanze kukwita kile kiungo cha dada zetu (pale kati) utafurahia nadhani..

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
unaboaga mshikaji sema hua,nakuchora tu sio fear bana

au na ww tuanze kukwita kile kiungo cha dada zetu (pale kati) utafurahia nadhani..

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
We ndio mtu wa kwanza kuniambia hivo kwa hiyo siwezi kuacha muita kwa kuwa wewe hupendi. Simuiti vibaya simuiti kwa kumsema wala sjawahi msema vibaya.
Cc HB.com
 
Back
Top Bottom