ni msanii gani mwenye fan base mkubwa hapa Bongo

ni msanii gani mwenye fan base mkubwa hapa Bongo

Kwa Tanzania..Alikiba
Kwa Africa...Diamond
Kwa wanawake..Vmoney
Kwa bongo muvie..Wema Sepetu
Kwa taarab KE..Isha mashauzi
Kwa taarab ME..Mzee Yusuph

Ali Kiba hana mashabiki wengi ana mashabiki ving'ang'anizi, wanajua kupiga kelele na kulaumu, wanajua kutoa povi sana. wamefanikiwa kubishan na wasanii wanao toa nyimbo 3 kwa mwaka huku wao wakitumia wimbo m 1 wa aje. Wamefanikiwa kushindana na msanii mwenye tuzo za MTV wao wakitumia tuzo za Kilimanjaro. Sidhani kama ana washabiki wengi bongo kumzidi domo, ila ana washabiku wenye kelele. So domo ndo ana mashabiki wengi

*sijasema ni Ali ni msanii mbaya naomba hilo lieleweke
Cc supermarket
Cc hance mtanashati
 
Ali Kiba hana mashabiki wengi ana mashabiki ving'ang'anizi, wanajua kupiga kelele na kulaumu, wanajua kutoa povi sana. wamefanikiwa kubishan na wasanii wanao toa nyimbo 3 kwa mwaka huku wao wakitumia wimbo m 1 wa aje. Wamefanikiwa kushindana na msanii mwenye tuzo za MTV wao wakitumia tuzo za Kilimanjaro. Sidhani kama ana washabiki wengi bongo kumzidi domo, ila ana washabiku wenye kelele.

*sijasema ni Ali ni msanii mbaya naomba hilo lieleweke
Cc supermarket
Cc hance mtanashati
Umeeleweka mkuu kwamba Ali kiba sio msanii mbaya[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
Ali Kiba hana mashabiki wengi ana mashabiki ving'ang'anizi, wanajua kupiga kelele na kulaumu, wanajua kutoa povi sana. wamefanikiwa kubishan na wasanii wanao toa nyimbo 3 kwa mwaka huku wao wakitumia wimbo m 1 wa aje. Wamefanikiwa kushindana na msanii mwenye tuzo za MTV wao wakitumia tuzo za Kilimanjaro. Sidhani kama ana washabiki wengi bongo kumzidi domo, ila ana washabiku wenye kelele.

*sijasema ni Ali ni msanii mbaya naomba hilo lieleweke
Cc supermarket
Cc hance mtanashati
Mbona kama umeenda op kaka
 
Hebu lete listi yako sasa tuiangalie ipo vipi kama ina upendeleo tuikague[emoji1] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tanzania- Domo
Afrika- domo
Duniani-domo
Kwa wanake bongo-shilole
Kwa wanwake Afrika-v money
Kwa waigizaji-kajala
Waigizaji wa kiume-JB
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tanzania- Domo
Afrika- domo
Duniani-domo
Dah [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Tulishashtuka mapema uliposema kwa kujitetea "sisemi kwamba Ali kiba ni msanii mbaya"
 
Dah [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Tulishashtuka mapema uliposema kwa kujitetea "sisemi kwamba Ali kiba ni msanii mbaya"
Hahaha.
Kwa domo nimepatia bhana
Nime iedit nimeongeza wengine mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tanzania- Domo
Afrika- domo
Duniani-domo
Kwa wanake bongo-shilole
Kwa wanwake Afrika-v money
Kwa waigizaji-kajala
Waigizaji wa kiume-JB
Mbona kwenye upigaji kura domo anakalishagwa na kiba angalia ata kwny tuzo za KTMA na kwenye zile top ten za eatv domo anakaaga sana yaani
 
Fafanua swali Mkuu, manake kuna wasanii wa aina nyingi wanamusic, bongo movie, wachoraji, wanasiasa n.k.
 
Mbona kwenye upigaji kura domo anakalishagwa na kiba angalia ata kwny tuzo za KTMA na kwenye zile top ten za eatv domo anakaaga sana yaani
Ususahau kazi waliyo puga Team Wema kwenye KTMA, sasa ondoa ile effort ya Wema, Ali Kiba mshabiki wake hawawezi kumpindua domo kias kile
 
Ususahau kazi waliyo puga Team Wema kwenye KTMA, sasa ondoa ile effort ya Wema, Ali Kiba mshabiki wake hawawezi kumpindua domo kias kile
Je kwenye zile top ten za eatv mbona ngoma za kiba ndo zinaongeza kwa kupigiwa kura au na panyewe team wema wanachangia
 
Back
Top Bottom