Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii, show na wanunuaji wa kazi zake so plus zen utoe conclusion nani anarun the industrylazima uweke vigezo.............
kwenye mitandao ya kijamii?wahudhuriaji wa show?...wanunuzi wa kazi zake ama?
Umetumia kigezo kipi mkuu kuconclude ivoKwa Tanzania..Alikiba
Kwa Africa...Diamond
Kwa wanawake..Vmoney
Kwa bongo muvie..Wema Sepetu
Kwa taarab KE..Isha mashauzi
Kwa taarab ME..Mzee Yusuph
Heading sijaielewaKibongobongo ni msanii gani ambaye aana mashabiki wengi zaidi ya wengne mwenye takwim aniambie maana swali hili huwa linanikanganya sana

Mitandao ya kijamii na show zao zinavyobambaUmetumia kigezo kipi mkuu kuconclude ivo
Nadhani ana maanisha uapie kwa muumba yaani uwe mkweli kitu kama hichoHeading sijaielewa
Kwenye show apo sijapaelewa vzur coz kama ndo ivo kuna show mbili zimepita za kiba apa dar kama zilibuma iv auMitandao ya kijamii na show zao zinavyobamba
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Kwenye show apo sijapaelewa vzur coz kama ndo ivo kuna show mbili zimepita za kiba apa dar kama zilibuma iv au
Hahahahahahaaaaaa we kaka mshali sana eeehUmesahau, swali lilitakiwa kuwa, kibongobongo ni msanii gani anaongoza kwa madai ya kurogwa, watu kutumia pesa nyingi juu yake na kuzimiwa mic?