kazikwanza1981
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,577
- 729
OK basi iko hivi:Bongo flava na bongo movie hawo wanasaiasa cna tym nao
Ahsante kwa mawazo yako mkuuOK basi iko hivi:
1. Diamond
2. Wema Sepatu
3. Ally Kiba
Kigezo ni ushindi wa Ally Kiba kwenye Kili Music Award ziliungana team tatu kumpa ushindi King Kiba, I mean team Wema, team Kiba na team Joketi. Ila inasemekana bado Kiba alimshinda Diamond kwa kura chache sana.
Sijawahi ziona, ntazifuatilia, ndio maana hata pale kwenye maelezo yangu nimesema washabiki wa Ali ni Ving'ang'anizi nadhani hapo sasa umeelewaJe kwenye zile top ten za eatv mbona ngoma za kiba ndo zinaongeza kwa kupigiwa kura au na panyewe team wema wanachangia
Amber luluGigi money..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amber lulu
kwani ukimwita diamond utakufa???.... adi umwite Domo?? ifikie mahali tuheshimu uumbaji wa munguAli Kiba hana mashabiki wengi ana mashabiki ving'ang'anizi, wanajua kupiga kelele na kulaumu, wanajua kutoa povi sana. wamefanikiwa kubishan na wasanii wanao toa nyimbo 3 kwa mwaka huku wao wakitumia wimbo m 1 wa aje. Wamefanikiwa kushindana na msanii mwenye tuzo za MTV wao wakitumia tuzo za Kilimanjaro. Sidhani kama ana washabiki wengi bongo kumzidi domo, ila ana washabiku wenye kelele. So domo ndo ana mashabiki wengi
*sijasema ni Ali ni msanii mbaya naomba hilo lieleweke
Cc supermarket
Cc hance mtanashati
Usmind mkuuukwani ukimwita diamond utakufa???.... adi umwite Domo?? ifikie mahali tuheshimu uumbaji wa mungu
unaboaga mshikaji sema hua,nakuchora tu sio fear banaUsmind mkuuu
Siongei kama insult mkuu
Mi ndio namuitaga hivo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We ndio mtu wa kwanza kuniambia hivo kwa hiyo siwezi kuacha muita kwa kuwa wewe hupendi. Simuiti vibaya simuiti kwa kumsema wala sjawahi msema vibaya.unaboaga mshikaji sema hua,nakuchora tu sio fear bana
au na ww tuanze kukwita kile kiungo cha dada zetu (pale kati) utafurahia nadhani..
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hapa sawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanzania- Domo
Afrika- domo
Duniani-domo
Kwa wanake bongo-shilole
Kwa wanwake Afrika-v money
Kwa waigizaji-kajala
Waigizaji wa kiume-JB