Ni msanii gani wa Kenya anakubalika sana Tanzania?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]and here I thought bongolalas don't know any Kenyan. So there are others who EV. know Kenyan socialites. I know corazon kwamboka by name only. Najua vera na huddah pekee. My fav is vera sidika
Vera ni mwanamuziki?
 
Hahah eti bongolala we unazingua kweli ila sio kesi, Mbona tunawajua sana akina vera, huddah, Wote hao

#DG
 
Hakuna kitu hicho mkuu wabongo Tunapenda miziki ya aina yote, tatizo wakenya wengi mnaimba pumba afu miziki yenu haibambi labda michache sana

#DG
 
We Mzee ni kinara wa kuhamisha magori naona unatafuta likes smh!
Mmeona mmeshindwa kupenyeza mziki wenu tz unasingizia watanzania wamefungwa na ujamaa 'nonsense indeed' mbona wa Nigeria wakija wanafanya show Kali na wanajaza watu japo waswahili na kingereza ni maji na mafuta.
Vipi kuna nchi nyingine za Africa ambazo mziki wenu unakubalika vizuri? Najua hakuna hata Uganda mliopakana nao mmeshindwa kuwateka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…