Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe acha useeeee.... Kama kina jay -z wenyewe wanatumbuiza tz eti hao artists wa kenya dau lao liwe kubwa kiasi kwamba ishindikane kuperform tz eti bei yao ni kubwa saaaaana we kweli ni msengelema kinyamaShida ni hela pia kusema ukweli Tanzania pande ya hela wapo chini sana kuweza kuwahost wasanii wa Kenya lakini inakuwa ni kinyume na hapa Kenya Jinsi wabongo wengi wamenufaika kwa uwepo wa hela kwa wanakenya. As a matter of fact for any Tanzanian Musician to make it ama akubalike duniani lazima aingie Kenya aweze kupitishiwa kwa moto kama vile dhahabu hupitishiwa hadi ikakubalika.
Bora umempa makavu huyu jamaa anadhani si ni watu wa mchezo mchezo.Wewe acha useeeee.... Kama kina jay -z wenyewe wanatumbuiza tz eti hao artists wa kenya dau lao liwe kubwa kiasi kwamba ishindikane kuperform tz eti bei yao ni kubwa saaaaana we kweli ni msengelema kinyama
👌nimelipenda....
Hakuna kitu hicho mkuu wabongo Tunapenda miziki ya aina yote, tatizo wakenya wengi mnaimba pumba afu miziki yenu haibambi labda michache sana
#DG
miguna migunaHabari zenu Wakuu, natumai mko poa bila kupoteza muda niende kwenye mada nikirejea uzi uliopostiwa na Member mmoja humu hapa juzi kati akionyesha clip ambayo inamuonesha msanii wa bongo kama sikosei ni aslay akiwa kajaza umati wa watu huko kenya,
huu uzi ulileta mjadala kiaina humu ndani wabongo wakidai kuwa wabongo wanakubalika sana kenya ila hakuna mkenya anaweza kutua bongo na kujaza umati kama huo.
Hivyo taja msanii au celebrity yeyote yule wa kenya ambae Unahisi akitua bongo lazima iwe ni shida Hasa kitaa kwa jinsi anavyokubalika.
Mi naanza na Khaligraph Jones dah huyu jamaa namuelewa kinoma na wabongo wengi wanamkubali huyu akitimba tena bongo ni shida kwani hata iwe sh ngapi hela yangu natoa nikamwone tu, wewe je??
#DG
Nasema hivyo kwa sababu miziki yote inabamba huku ukicheki hiphop, rnb Hata kwaya japo kuna baadhi ya miziki haina wapenzi wengi kama reggae. Ila hiyo mingine kama kawaida vibe kama lote.Nazungumza kuhusu ninachokijua, ni ngumu sana kumkuta Mtanzania anaskliza wimbo wowote nje ya Bongo flava, hili nimeliona sana kwenu na hiyo nchi yenu nimeitembea zaidi ya wengi wenu humu, nimekatiza mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya hivyo napafahamu vizuri sana.
Yaan ukute Mtanzania amekaa anaskliza wimbo usio Bongo flava, utatembea sana, ni wachache labda waliobahatika kutoka na kuishi nje ya nchi na kurudi, ila wengine wote mumefungiwa ndani ya zizi moja, athari za ujamaa hizo, inalemaza mtu kiakili kwamba hauwezi kuwaza nje ya ulichoelekezwa.
Leo hii Bongo flava imeanza kubadilika na kuiga mitindo ya Kinijeria na ndio maana unakuta wengine wenu mumeanza kuwakubali hao Wanaijeria.
Anaitwa Baba!Kwenye artists hamna labda wanasiasa RAO anakubalika!
Nonsense!Nazungumza kuhusu ninachokijua, ni ngumu sana kumkuta Mtanzania anaskliza wimbo wowote nje ya Bongo flava, hili nimeliona sana kwenu na hiyo nchi yenu nimeitembea zaidi ya wengi wenu humu, nimekatiza mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya hivyo napafahamu vizuri sana.
Yaan ukute Mtanzania amekaa anaskliza wimbo usio Bongo flava, utatembea sana, ni wachache labda waliobahatika kutoka na kuishi nje ya nchi na kurudi, ila wengine wote mumefungiwa ndani ya zizi moja, athari za ujamaa hizo, inalemaza mtu kiakili kwamba hauwezi kuwaza nje ya ulichoelekezwa.
Leo hii Bongo flava imeanza kubadilika na kuiga mitindo ya Kinijeria na ndio maana unakuta wengine wenu mumeanza kuwakubali hao Wanaijeria.
Landlord. Jamaa ni muigizaji sio mchezo.Mejja
🙄🙄🙄Kwenye artists hamna labda wanasiasa RAO anakubalika!
Kitu cha msambwandaaWatz tunapenda matako makubwa,aje Sadika,Huddah,na wengineo waperform wakiwa wamevaa chupi na shanga tu cheki nyomi kutakuwa hamna nafasi ukumbini.
Tunamkubali zaidi ni professor Ndii na Mkikuyu akili timamu[emoji849][emoji849][emoji849]
Nazungumza kuhusu ninachokijua, ni ngumu sana kumkuta Mtanzania anaskliza wimbo wowote nje ya Bongo flava, hili nimeliona sana kwenu na hiyo nchi yenu nimeitembea zaidi ya wengi wenu humu, nimekatiza mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya hivyo napafahamu vizuri sana.