Ni msanii gani wa Kenya anakubalika sana Tanzania?

Sijazungumzia mambo ya lugha, naongea kuhusu mtindo mmoja yaani hata humo Tanzania aibuke msanii aimbe kwa Kiswahili lakini mtindo ambao sio Bongo flava, ataishia kuskliza nyimbo zake mwenyewe na mkewe. Halafu pia kwenu huwa mumegawanyika kwenye timu mbili hata ndani ya hiyo Bongo flava, kuna Mondi na Kiba, wengine wote ni wasindikizaji tu, yaani naifahamu Bongo vizuri sana, hata kwenye michezo hamna diversity, ni mpira tu na wenyewe timu mbili Yanga na Simba, zingine zote zinasindikiza tu.
Ndio athari za ujamaa, huwa unalemaza mtu akili kiasi kwamba hana uwezo wa kutumia akili zake, lazima afuate mkumbo na ndio kipindi fulani hata Kikwete aliwahi kuwaomba muwe mnajiongeza sio kupelekeshwa pelekeshwa, angalia hata kwenye siasa, chama kimoja tangu mzungu awaachie nchi.

Hahahaaa,usichokijua kuna kundi linaiwa ROSTAM,ROMA na STAMINA,hawa jamaa wanaimba hip hop,kwa sasa bongo hakuna msanii anayeweza kunyanyua hadhira kwa saa zima ikimfuatisha anavyoimba zaidi ya hawa jamaa.mond mwenyewe anasubiri hapa.
 
Sijazungumzia mambo ya lugha, naongea kuhusu mtindo mmoja yaani hata humo Tanzania aibuke msanii aimbe kwa Kiswahili lakini mtindo ambao sio Bongo flava, ataishia kuskliza nyimbo zake mwenyewe na mkewe. Halafu pia kwenu huwa mumegawanyika kwenye timu mbili hata ndani ya hiyo Bongo flava, kuna Mondi na Kiba, wengine wote ni wasindikizaji tu, yaani naifahamu Bongo vizuri sana, hata kwenye michezo hamna diversity, ni mpira tu na wenyewe timu mbili Yanga na Simba, zingine zote zinasindikiza tu.
Ndio athari za ujamaa, huwa unalemaza mtu akili kiasi kwamba hana uwezo wa kutumia akili zake, lazima afuate mkumbo na ndio kipindi fulani hata Kikwete aliwahi kuwaomba muwe mnajiongeza sio kupelekeshwa pelekeshwa, angalia hata kwenye siasa, chama kimoja tangu mzungu awaachie nchi.
Sio kweli. Tanzania kuna mitindo kibao ya miziki. Sahivi kuna singeli style ndo habari ya mjini.
 
Sijazungumzia mambo ya lugha, naongea kuhusu mtindo mmoja yaani hata humo Tanzania aibuke msanii aimbe kwa Kiswahili lakini mtindo ambao sio Bongo flava, ataishia kuskliza nyimbo zake mwenyewe na mkewe. Halafu pia kwenu huwa mumegawanyika kwenye timu mbili hata ndani ya hiyo Bongo flava, kuna Mondi na Kiba, wengine wote ni wasindikizaji tu, yaani naifahamu Bongo vizuri sana, hata kwenye michezo hamna diversity, ni mpira tu na wenyewe timu mbili Yanga na Simba, zingine zote zinasindikiza tu.
Ndio athari za ujamaa, huwa unalemaza mtu akili kiasi kwamba hana uwezo wa kutumia akili zake, lazima afuate mkumbo na ndio kipindi fulani hata Kikwete aliwahi kuwaomba muwe mnajiongeza sio kupelekeshwa pelekeshwa, angalia hata kwenye siasa, chama kimoja tangu mzungu awaachie nchi.
Kwa hiyo nyimbo za Nigeria zinapendwa Bongo kwa sababu mtindo wao unarandana na Bongo flavour?,,kalaghabaho......!
 
Bongo flava siku hizi wanaiga sana mitindo ya Nigeria ndio maana unaona nyomi yote inaelekea kwa nyimbo zao wale.
 
Kenyan artist waliobahatika kuingia kwny playlist yangu:
1.Digde-Saa zingine,kita ngoma.
2.Kleptomianix-Tuendelee.
3.K-South-Tunafanya kazi.
4.Bamboo(K-South)-Kabinti.
5.Juacali-Bidii yangu.
6.DNA-Banjuka.
7.Nameless-Juju,Inspire.
8.Elani-Kookoo.
9.H_Art Band-Nikikutazama,Uliza kiatu
10.Nyashiski-Malaika,hayawani,Mungu Pekee
11.Sauti Sol-Africa,Kuliko jana, Rewind, Tujiangalie.

SAUTI SOL is my Fav in Kenya.
 
Hao was kwanza wanne ni wa Kenya kweli?
 
Point ni kwamba mziki wa Kenya hauna soko popote pale hapa Africa, hata hapo Kenya, market share ya mziki wa Kenya haizidi 25%.
Pengine useme secular. Hapo nakubaliana nawe ila wakenya wameanza kusapoti wanamziki wao so tegemea utokwe na povu hivi karibuni.
Gospel na vernacular songs zipo mbele ya secular.Tunapenda mziki wa injili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]and here I thought bongolalas don't know any Kenyan. So there are others who EV. know Kenyan socialites. I know corazon kwamboka by name only. Najua vera na huddah pekee. My fav is vera sidika
Unaweza kutupa jina of your favorite musician in kenya tumuangalie youtube.....

myself namjua tu khaligraph jones. May be kuna walio vizuri wanaoweza kufikisha 2m viewers youtube tuenjoy good music from kenya
 
Ulikuwa unadhani nyimbo zao zinafikisha views ngapi hivi? Hebu niambie kwanza
 
Pengine useme secular. Hapo nakubaliana nawe ila wakenya wameanza kusapoti wanamziki wao so tegemea utokwe na povu hivi karibuni.
Gospel na vernacular songs zipo mbele ya secular.Tunapenda mziki wa injili
Hapa tunazungumzia secular music, sasa ukianza kuzungumzia mambo ya dini na makabila, watanzania watakushangaa sana.
 
Hao was kwanza wanne ni wa Kenya kweli?
Yap ni Wakenya too bad hamthamini mchango wa ma legend wenu walioanza kuutambulisha mziki wenu wa kizazi kipya nje ya mipaka anyway you are too young to be blamed!!! Ila hao wote ni wakenya tena hapo nimewasahau SEMA group iliyotengezwe katika competition ya Coca Cola mziki unaitwa MWEWE mwingine LETA WIMBO
 
Hehehe wewe bana, kwanza huyu anakubalika sana tangu ile video yake iliyovuja akiliwa...aje huku nitakua mmoja wa kupiga deki barabara atakayotumia.
Hahahaha....
 
Back
Top Bottom