Ni msanii gani wa Kenya anakubalika sana Tanzania?

Me katika nchi ambazo sijawai zielewa ni kenya yani watu wake wako hovyo hovyo..mkenya nae mkubali ni huddah tu
 
Bongo hata akija baba yenu Kenyatta, hapati nyomi. Sisi ni wagumu nyie, acheni zenu hizo[emoji18]

Labda aje Vera Sidika, ndio atakusanya wadogo zetu wanao jifundisha kupiga CHAPUTA.
 
Hapa tunazungumzia secular music, sasa ukianza kuzungumzia mambo ya dini na makabila, watanzania watakushangaa sana.
mimi nimesha mshangaa ndio maana hawa wakenya kwa asilimia kubwa hutengana sana hivi watu tunazungumzia mziki ambao haubagui dini wala kabila mtu anakuja kuongelea mziki wa dini,huyo mtu sidhan kama ni mzima wa afya hata uku kwetu miziki ya dini tunayo na kila mtu anakubali mziki kutokana na dini yake ila huwa atupend kuongelea mziki wa dini katika mjadala wa jamii kiujumla mana ni chanzo cha kuanza kubaguana kidini
 
Heeehe huwezi linganisha meddy was Rwanda na wasanii wenu.His song slowly
nilichogundua wew n mpinzan na huna hoja hv ukianza kumjaji msanii kwa nyimbo moja ya slow ntakupatia nyimbo nyingi za melody ya rnb hapa hapa bongo uone kama uyo medy atafua dafu
jaribu kufatilia benpol-moyo mashine
jux-uzuri wako
steve rnb-dawa
aisee ni weng sana
 
mimi nimesha mshangaa ndio maana hawa wakenya kwa asilimia kubwa hutengana sana hivi watu tunazungumzia mziki ambao haubagui dini wala kabila mtu anakuja kuongelea mziki wa dini,huyo mtu sidhan kama ni mzima wa afya hata uku kwetu miziki ya dini tunayo na kila mtu anakubali mziki kutokana na dini yake ila huwa atupend kuongelea mziki wa dini katika mjadala wa jamii kiujumla mana ni chanzo cha kuanza kubaguana kidini
nilichogundua wew n mpinzan na huna hoja hv ukianza kumjaji msanii kwa nyimbo moja ya slow ntakupatia nyimbo nyingi za melody ya rnb hapa hapa bongo uone kama uyo medy atafua dafu
jaribu kufatilia benpol-moyo mashine
jux-uzuri wako
steve rnb-dawa
aisee ni weng sana
Nyamaza. Ni wapi nimeleta ukabila? Why do you people act as if you are so special. Niliwaambia Mimi najua wasanii wengi sana wa bongo. All Wasafi members,benpol,darassa,Vanessa, nandy, ruby prof.jay,Ali kiba, aslay,the list is endless. On the other hand,you people don't know any musician outside your country.
mimi nimesha mshangaa ndio maana hawa wakenya kwa asilimia kubwa hutengana sana hivi watu tunazungumzia mziki ambao haubagui dini wala kabila mtu anakuja kuongelea mziki wa dini,huyo mtu sidhan kama ni mzima wa afya hata uku kwetu miziki ya dini tunayo na kila mtu anakubali mziki kutokana na dini yake ila huwa atupend kuongelea mziki wa dini katika mjadala wa jamii kiujumla mana ni chanzo cha kuanza kubaguana kidini
 
Mnashangaa nini? Si mnajulikana nyie ndiye kinara wa ushirikina dunia nzima? Ndio maana mnanihukumu kisa nimezungumzia dini
Nyanyangu, kitu cha kujifunza hapa ni kwamba, watanzania wanachukia sana ubaguzi wa aina yoyote ile, usijaribu tena kuzungumzia kitu chochote chenye chembechembe za division.
 
Acha niachane na nyinyi maana uelewa wenu ni finyu sana. Huku kwetu hatuchezi nyimbo za akina diamond kanisani. Happy sabbath
 
Back
Top Bottom