Sema wasanii wenu wanafanya vibayaKenya tunapenda mziki wa injili. Wa dunia tunaangalia/kuskiza just for the sake
Hujui na umeiandika
Si wabongo pekee. Don't think you are special. Nigerians and Jamaicans too.Na wengine wengi ,westerners nk.Sema wasanii wenu wanafanya vibaya
Mbona wabongo wakija huko wanavuna mihela?
Na mbona una~play kilaza?
Kina Davido wanaimba kibongobongo?Tatizo mfumo wenu wa ujamaa uliwadumaza kiasi kwamba huwa hamna uwezo wa kufurahia diversity, yaani mkielekeza pua kwa kitu kimoja, nyote mnamwagika humo. Unakuta mnao mtindo mmoja tu wa sanaa, na ili Mkenya atambulike huko lazima aimbe Kibongobongo ndio aeleweke.
Sisi huku tunafurahia kila aina ya mtindo, iwe Bongo au mitindo ya kwetu na ndio maana unaona wasanii wenu wakija wanakubalika, hatujafugwa kwenye zizi moja kama mbuzi.
Nimetolea wabongo kama example tu!,sio kama Nigerians wanafanya vibaya la hasha!Si wabongo pekee. Don't think you are special. Nigerians and Jamaicans too.Na wengine wengi ,westerners nk.
KaliJua cari na wimbo wake Kwa heri
Kweli wakenya wana pesaNimetolea wabongo kama example tu!,sio kama Nigerians wanafanya vibaya la hasha!
Nachosema hapa ni Kwamba wakenya ni wapenzi wazuri wa mziki wa kidunia that's why many artists from outside make a lot of money in Kenya than Kenyan artsists do!
i dont play it... mi ni kilaza haswaa..Na mbona una~play kilaza?
Hongerai dont play it... mi ni kilaza haswaa..
janerose......Hongera
Amefanya nini?janerose......
Lakini sijamzidi anaewatupa watu kwenye chumba cha chatu au kuagiza wapigwe risasi 45 kikatili mchana kweupeee !We jamaa chuki aliekufunza nani? Hukuzaliwa nayo umejikuta nayo ukubwani.
#DG
Real Talk.We Mzee ni kinara wa kuhamisha magori naona unatafuta likes smh!
Mmeona mmeshindwa kupenyeza mziki wenu tz unasingizia watanzania wamefungwa na ujamaa 'nonsense indeed' mbona wa Nigeria wakija wanafanya show Kali na wanajaza watu japo waswahili na kingereza ni maji na mafuta.
Vipi kuna nchi nyingine za Africa ambazo mziki wenu unakubalika vizuri? Najua hakuna hata Uganda mliopakana nao mmeshindwa kuwateka
Haya mkuu kama usemayo yana chembe za ukweli maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu ila isije ikawa ni hisia tu maana kuhisi na kutuhumu haijawahi kuwa fresh.Lakini sijamzidi anaewatupa watu kwenye chumba cha chatu au kuagiza wapigwe risasi 45 kikatili mchana kweupeee !