MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo.
Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100% Ushindi wa leo tumebebwa na Mwamuzi.
Tunapokuwa Kila Siku tunawasema Yanga SC na GSM kuwa Wanahonga Waamuzi basi kwa huu Upumbavu na Upuuzi uliotokea leo nasi Simba SC tukubali kuwa METL nao wameamua rasmi sasa Kuingia Kazini.
Nje ya Kushinda kwa Goli la Msanii wa Injili Rose Mhando la Nibebeeee...Nibebeeeee... bado hata leo Simba SC yetu imecheza mpira mbovu na usipeleweka hali inayonifanya niamini kuwa huenda Makocha weru ni tatizo au Wachezaji weru Uwezo wao umefikia Kikomo ili tujipange Kufanya Usajili wa maama Msimu ujao.
TFF, TPLB na Kamati ya Saa 72 nawaombeni hata msichelewe Kukaa Kikao cha Kumfungia huyu Mwamuzi ambaye ana jina la Ubini la Simba hivyo yawezekana alitaka Kulifurahisha hilo Jina kwa Kuibeba wazi wazi Simba SC kwa kuipa Penati leo.
Mwanasimba yoyote ambaye atabisha au atanibishia kuwa leo Simba SC tumebebwa kwa kupewa ile Penati iliyotupa Ushindi ajiite ni Mwendawazimu, Mnafiki na hajui Soka bali ni Shabiki Takataka na siyo Mdau na Mdaawa wa Mchezo wa Soka kama tulivyo Wapenda Haki wengine.
Najiandaa sasa Kusoma Comments za Wanasimba Wendawazimu ambao watakuja Kunishambulia hapa JamiiForums baada ya Kusema huu Ukweli.
Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!!!
Bujibuji Simba Nyanaume