Ni Mshabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo atashingilia Ushindi wa Penati ya Kupewa na ya Kuonewa Prisons FC

Ok, nini kifanyike sasa? Tufanyeni droo basi. Mbona tushazoea?
 



 
Mimi ni mwendawazimu

Penati ya haki kabisa
 
Ushirikina ulikuwepo enzi na enzi. Lakini sisi tuliokombolewa na Damu ya Yesu ya thamani(Simba) tunapinga ushirikina kwa nguvu zote.

Ibilisi hawezi kumshinda Mungu kwamwe. Ni suala la muda tu.
Sasa Straika Wapo Wanapoteza Nafasi Za Kufunga Unasema Ushirikina????

Kukombolewa Gani Huko Mkuu Fatilia Vizuri Mfumo Mnaocheza Pia Aina Ya Wachezaji Ulionao Na Si Kuamini Vitu Visivyo Na Msingi.
 
Bora mkuu wewe umeongea uhalisia wa timu.

Hayo ni matatizo ya mwalimu wa timu na si la wachezaji.Wachezaji wanafuata Maelekezo.

Sisi tunawaponda mawinga wakimbiaji wazuri kwa kuwaita wakimbiza upepo,laikini mpira wa sasa unataka spidi.Hata uzuri wa pasi utauona wakati mpira uko kwenye spidi na pace ya mchezo iwe juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…