Kumbe unafiki na kujikomba ndiyo vinaitwa Mshkamano.....!!Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya....
Muendelee kushika adabu kwetu sisi mabosi wenu wananchi, mkileta jeuri na kujimwambafai walahi wote mtaendelea kufa mmoja baada ya mwingine kama alivyotoa unabii Godbless Lema!Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya ....
Dodoma kuna mkusanyiko wa fisi.Mkuu habari za Dodoma?
Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee.Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa....
Kwani lile kundi la mitano tena 🤣 na tupumpunguzie majukum Rais asiwe mwenye kiti wa chama wamefikia wap saiv?Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.
Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa Ccm wasingekubali kuongozwa na mwanamama.
Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.
Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.
Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.
Nani kakwambia hayo?Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.
Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa Ccm wasingekubali kuongozwa na mwanamama.
Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.
Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.
Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.
Hilo la kuwapa watu ubunge kinyume na katiba sina uhakika.Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee.
Katiba kuvunjwa si jambo la kushangaza kwa serikali hii ya CCM. Mifano ipo mingi.1) Kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa na watu kutoa maoni yao
2) Kuwapa ubunge watu kinyume na katiba
3) Kufanya matumizi nje ya ya badget iliyoidhinishwa na bunge kama inavyoagizwa na katiba, orodha ni ndefu.
Kama ni kuvurugana kutokana na kuvunja katiba ingekwisha vurugwa.