Ni mshikamano wa ajabu, wapinzani wamepigwa na butwaa

Ni mshikamano wa ajabu, wapinzani wamepigwa na butwaa

Tuliambiwa mzee mangul amewekewa sumu akiwa ndani ya mkutano,mpaka leo hajakamatwa mtu!ccm haifai kuongoza nchi na tutaendelea kulalamika miaka nenda rudi kama itaendelea kubaki madarakani.
 
Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.

Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa Ccm wasingekubali kuongozwa na mwanamama.

Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.

Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.

Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.
Ukiambiwa urudi kwenu burundi unarusha ngumi hewani
 
Utoto@work.
 
Muendelee kushika adabu kwetu sisi mabosi wenu wananchi, mkileta jeuri na kujimwambafai walahi wote mtaendelea kufa mmoja baada ya mwingine kama alivyotoa unabii Godbless Lema!
Lema anatisha sana
 
Hawaamini wanachokiona. Siku wakigundua na kuelewa adui yao sio mtu bali chama itakua its too late
Sukuma gang mwisho wenu unazidi kusogea .
Mtafurumushwa woote muishe mrudi kwenu mkalime mihogo
 
Na bado.Huoni Bw. Mbatia sasa hivi anaongea kama chizi ? Kwa sababu Mbatia huyu siyo Mbatia yule kabisa .Mara ooh waziri mkuu ajiuzulu kupisha Rais kuunda serikali upya,mara ooh Mama amuite Tundu Lissu arudi nyumbani utadhani kuna mtu alimfukuza. Yaani ni ujinga ,tena ujinga kisha ujinga .Kumbe ubunge ulikuwa umewatuliza watu vichwa visipate moto.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Umepiga pabaya, nawasikia wanagugumia maumivu.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom