Ni mshikamano wa ajabu, wapinzani wamepigwa na butwaa

Mipaka huainishwa na sheria na katiba yenyewe siyo mtu anaamka asubuhi na kutangaza marufuku ya mikutano jambo ambalo limefanyika toka mfumo wa vyama vingi uanze. Haki ya kujumuika iko wapi?
Kasome ibara ya 30 ya katiba ya JMT.
 
Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.

Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa CCM wasingekubali kuongozwa na mwanamama.

Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.

Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.

Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.
We ni chawa, huwezi jua yanayoendelea kwenye koti, utajua utakapohisi joto!!!
 
Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.

Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa CCM wasingekubali kuongozwa na mwanamama.

Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.

Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.

Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.

CCM ndio babalao

Anayetaka kubishana na hili aje sasa😅😅💃💃💃
 
Back
Top Bottom