Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Mataga bwana mnajitekenya na kucheka wenyewe kazi ipo
Zama za mapambio zimeisha mmebaki na porojo halafu mnavyotia huruma hadi mama kawashtukia hapendi unafiki wenu
Mmebaki kuanzisha vinyuzi vya kujikomba enyi sukuma gang
Pole yenu
😂😂😂😂😂😂😂😂