Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hapo sasa ndo tunaona tofauti ya elimu na humblenessMtu akifunguliwa milango yake mapema basi anaanza kuona ambao hawajafunguliwa ni wajinga wote.
Rizki bhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa ndo tunaona tofauti ya elimu na humblenessMtu akifunguliwa milango yake mapema basi anaanza kuona ambao hawajafunguliwa ni wajinga wote.
Rizki bhana.
Binadamu ni wabinafsi sana tena sana.Mtu akifunguliwa milango yake mapema basi anaanza kuona ambao hawajafunguliwa ni wajinga wote.
Rizki bhana.
The exact challenge facing (preferably female) right after graduation (with no job) they are untouchable! Wait them after one year in Street! 😂😂^When my daughter graduated from college, she was very exhilarated saying she had finally made it, not realizing the real exam was waiting for her in life.^ ~Dr. Menser Otabil
Acha bana khaaa 😂😂😂Binadamu ni wabinafsi sana tena sana.
Zamani nilikuwa nina moyo wa kuwapigania na kuwapambania watu au kuwatetea lakini baadaye nikagundua watu wote wana roho ya korosho na kila mtu anajipigania nafsi yake. Hata wale unaowatetea nao wana choyo kali.
Kwa jinsi hii sharti watu wote wasimame kwenye miguu yao wenyewe. Hata viwete wajiburuze mpaka kieleweke.
Ukipata mkate ufiche, kula mwenyewe usimpe mwingine. Hata anayeomba kwa kulia mkanyage mateke.
Ila makazini kuna factors nyingi za kumfanya mtu ku_survive! Fitina, majungu, uchawi! Don't underestimate uchawi! It is real!Sema nini Morning_star wape moyo vijana wana stress za kukosa ajira halafu tena unakumbushia GPA utawaua kwa stress
Mbona tunao wenye GPA za kawaida humu makazini, uzuri mkianza kazi wote mnapigwa training
Na katika visa vingine utakuta mwenye GPA kubwa anazidiwa na aliyemzidi GPA inapohusu weledi na ufanisi katika kazi
Hapo sikupingiIla makazini kuna factors nyingi za kumfanya mtu ku_survive! Fitina, majungu, uchawi! Don't underestimate uchawi! It is real!
Ukifika level ya kufanya wema bila kuangalia wewe watakutendea vipi utakua umefikia kiwango kikubwa mno cha utu na upendo na kuwa binadamu kamili.Binadamu ni wabinafsi sana tena sana.
Zamani nilikuwa nina moyo wa kuwapigania na kuwapambania watu au kuwatetea lakini baadaye nikagundua watu wote wana roho ya korosho na kila mtu anajipigania nafsi yake. Hata wale unaowatetea nao wana choyo kali.
Kwa jinsi hii, sharti watu wote wasimame kwa miguu yao wenyewe. Hata viwete wajiburuze mpaka kieleweke.
Ukipata mkate ufiche, kula mwenyewe usimpe mwingine. Hata anayeomba kwa kulia mkanyage mateke.
Ukiwa huna, kila mtu hakutaki unakuwa takataka mbwa. Ukipata usigeuke nyuma unapaswa kuwa katili kweli kweli kwa sababu dunia haina huruma wala msalia mtume.
Cc: min -me Mine -me Poor Brain
Kuajiriwa ni kujifungia mkuu ,kitaa kuna pesa nyingi sana zinarandaranda tu, kuziongeza ziwe nyingi ni juhudi zako tu na sio mpaka maamuzi ya wengine.
You are such a Poor Brain ! I don't think the greatest philanthropists who also happen to be the very top-notch billionaires will sympathize with your small-heartedness.Ukipata mkate ufiche, kula mwenyewe usimpe mwingine. Hata anayeomba kwa kulia mkanyage mateke.
Hatuko kanisani au msikitini hapa! Nilitanguliza kusema "povu ruksa" kaa kwenye mada! Tuondolee dini hapa eboooh!Maisha ni zawadi kutoka kwa mola mtukufu lakini kifo ni fumbo kwa wanadamu,
ikiwa riziki anatoa mola mlezi basi huna budi kumdhihaki jirani yako.
kesho yako huijui heshimu watu na kuwa utulivu, jifunze kunyamaza kwa sababu ya mbeleni huyajui ishi kwa ADABU katika huu ulimwengu.
elimu ya darasani kwangu si kitu hata chembe ila ni sehemu ya maisha kwa mwadamu.
Hujui unenalo.....Darasa la saba ulipata wastani wa "A" na ukakosa fursa ya kwenda kidato cha kwanza? Kidata cha nne ulipata Division ONE na hukuchaguliwa kwenda Alevel au vyuo (kama ulichagua vyuo)? Alevel ulipata Division ONE ukakosa fursa ya kwenda Chuo Kikuu? Chuo Kikuu ukapata GPA ya "First Class" au "Upper Second" alafu ukakosa ajira?
Wengi wanaolialia wamesoma wakakosa ajira ni wale vilaza na wanaolazimisha ufauru afifu kuwa wamefauru! Katika Dunia hii ya utandawazi ili utoboe unahitaji viwango vya juu vya kudhihirisha kuwa uko vizuri! Sio unajikusanya na Division two au GPA ya lower au Gentleman alafu unalialia sina ajira! Hizo enzi zimepita mkuu! Ukiona umetupwa nje na mfumo wa ajira jiongeze kivingine!
Nashangaaga kuona mtaani vijana eti wanahusstle kwa kuendesha bodaboda, kupika mandazi, vitumbua, samaki, miogo alafu wanategenea kutoboa kuwa na maisha safi ya kumiliki nyumba nzuri, gari zuri, majina na heshima nzuri ya ukwasi! Thubutu!!! Utapata ela ya kula lakini umasikini umeishatia timu!!
Povu ruksa!!
Astakafillah wabarakatu 😁😁Acha bana khaaa 😂😂😂
Sema astakafillah mara saba
Fuatilia historia ya KFC, ndiyo utajua hujui.Nashangaaga kuona mtaani vijana eti wanahusstle kwa kuendesha bodaboda, kupika mandazi, vitumbua, samaki, miogo alafu wanategenea kutoboa kuwa na maisha safi ya kumiliki nyumba nzuri, gari zuri, majina na heshima nzuri ya ukwasi! Thubutu!!! Utapata ela ya kula lakini umasikini umeishatia timu!!
Ishu ni vijana tulionao kujinasibu wamesoma hawana ajira! Kama umesoma hujapata ajira usilielie sijui serikali sijui nini!! Samaki akifumba mdomo hakamatwi na ndoano! Huyo msomi ukimuuliza GPA hawezi kukwambia maana ni gentleman au lower!Huyo mtu anaongelea masuala ya GPA kali wakati mtaani wanaangalia Experience.