I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 804
- 1,362
Sure. Ni mda wa kuhamia JamiiForumsMtandao wa x (zamani twitter) ulisifika kuwa na vijana wasomi na wenye maendeleo kulinganisha na mitandao mingine ya kijamii lakini sasa naona hali hiyo imebadilika. Account za kuonesha maudhui ya ngono zimejaa mno kiasi kwamba huwezi scroll page mbili bila kukutana na content yoyote ya porn. Nandhani ni mda sahihi wa sisi vijana tunaojielewa kuhamia mitandao mingine rasmi ya kijamii.