Kwa ufupi ecosystem ya Google itachukua muda na nguvu nyingi kuiua. Ukitumia simu ya Android, lazima Google account. Ukitaka uwe na channel Youtube, Gmail inahusika. Ni kama hapa Bongo na bidhaa za Bakhresa.Mzee unalielewa vizuri balaa la Gmail?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ufupi ecosystem ya Google itachukua muda na nguvu nyingi kuiua. Ukitumia simu ya Android, lazima Google account. Ukitaka uwe na channel Youtube, Gmail inahusika. Ni kama hapa Bongo na bidhaa za Bakhresa.Mzee unalielewa vizuri balaa la Gmail?
Mbona ni rahisi sana kummaliza Google kitakachofanyika ni Elon kuja na Operating system yake pamoja na device zake, Google mbona mchumba tuKwa ufupi ecosystem ya Google itachukua muda na nguvu nyingi kuiua. Ukitumia simu ya Android, lazima Google account. Ukitaka uwe na channel Youtube, Gmail inahusika. Ni kama hapa Bongo na bidhaa za Bakhresa.
Karibu Jief nduguMtandao wa x (zamani twitter) ulisifika kuwa na vijana wasomi na wenye maendeleo kulinganisha na mitandao mingine ya kijamii lakini sasa naona hali hiyo imebadilika.
Account za kuonesha maudhui ya ngono zimejaa mno kiasi kwamba huwezi scroll page mbili bila kukutana na content yoyote ya porn.
Nandhani ni mda sahihi wa sisi vijana tunaojielewa kuhamia mitandao mingine rasmi ya kijamii.
NakaziaMtandao huwa haukupi unachokitaka huwa unakupa unachokitafuta
Operating system ngapi zimeshindana na Android na zikashinda? Itahitaji muda kwanza hadi watu wavutiwe kuitumia, na hiyo ni mpaka wahakikishiwe app zao muhimu watazikuta kwenye hiyo OS. Kazi nyingine hiyo ya kuwashawishi developers.Mbona ni rahisi sana kummaliza Google kitakachofanyika ni Elon kuja na Operating system yake pamoja na device zake, Google mbona mchumba tu
Anatafta yeye mwenyewe porn halafu analaumu mtandao. Kwenye mtandao kuna kitu kinaitwa Algorithm ambacho husoma unachokipendelea kukitafta mtandaoni na inakuletea.Mtandao huwa haukupi unachokitaka huwa unakupa unachokitafuta
Haikuwepo ya Elon Musk yuke hashindwaji kitu alete uone atakavyoondoka na kijiji. Google ni kampuni ya Makoloni ndio maana yanadhulumu PublishersOperating system ngapi zimeshindana na Android na zikashinda? Itahitaji muda kwanza hadi watu wavutiwe kuitumia, na hiyo ni mpaka wahakikishiwe app zao muhimu watazikuta kwenye hiyo OS. Kazi nyingine hiyo ya kuwashawishi developers.
HarmonyOS ilipata break through kupitia Huawei flagship phone zake na hata hivyo Huawei hawakuwa wageni. Walikuwa kwenye soko tayari na wana diehards wengi.
Ulisikia ya Musk na Sam Altman wa OpenAI? Una uhakika gani Elon hatakuwa koloni pia? Anyway tusubiri tuone.Haikuwepo ya Elon Musk yuke hashindwaji kitu alete uone atakavyoondoka na kijiji. Google ni kampuni ya Makoloni ndio maana yanadhulumu Publishers