I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 804
- 1,362
Sure. Ni mda wa kuhamia JamiiForumsMtandao wa x (zamani twitter) ulisifika kuwa na vijana wasomi na wenye maendeleo kulinganisha na mitandao mingine ya kijamii lakini sasa naona hali hiyo imebadilika. Account za kuonesha maudhui ya ngono zimejaa mno kiasi kwamba huwezi scroll page mbili bila kukutana na content yoyote ya porn. Nandhani ni mda sahihi wa sisi vijana tunaojielewa kuhamia mitandao mingine rasmi ya kijamii.
Sio kweli kabisa. Mimi natumia X sijawahi kuona content hata moja ya porn.Mtandao wa x (zamani twitter) ulisifika kuwa na vijana wasomi na wenye maendeleo kulinganisha na mitandao mingine ya kijamii lakini sasa naona hali hiyo imebadilika. Account za kuonesha maudhui ya ngono zimejaa mno kiasi kwamba huwezi scroll page mbili bila kukutana na content yoyote ya porn. Nandhani ni mda sahihi wa sisi vijana tunaojielewa kuhamia mitandao mingine rasmi ya kijamii.
Mtu anawa-follow acc za kipuuzi baada ya hapo anajihisi mwenye hatia anageukia huku kuuponda mtandao wa X😁Hamia Quora, ile ni kama JF ya India
Reddit ni baba laoHamia Quora, ile ni kama JF ya India
Sio tu scrolls anaamua kuziweka kwenye Bookmarks😁ndio mtandao sasa.
Ajabu unalalamika huku unascroll za kijinga na hasira hazipo ila ukija huku unawaka Kama gesi ya Gongo.
Mzee unalielewa vizuri balaa la Gmail?Na Mhuni yupo kwenye mapinduzi ya kuanzisha Xmail na Gmail inaenda kufa kifo cha mende í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Balaa la Musk nalo unalielewa lakini ?Mzee unalielewa vizuri balaa la Gmail?
Aisee Elon atawaua wazungu wa ulaya na vile hawampendi. Mwambs ana itu vingi sana. Wazungu wa West mwanzoni wali mu underate kwa kuwa katoka third world country kumbe ni kiumbe kingine. Sasa wana Mhaho. Ipo siku Elon musk atakuwa ana kila teknolojia, huyu ni mtu ambae hajawahi tokea duniani.Na Mhuni yupo kwenye mapinduzi ya kuanzisha Xmail na Gmail inaenda kufa kifo cha mende 😂😂😂
Ni kweliii mkuu watakupaje video za ngono wakati wanajuabulijaza una miaka 17??Mtandao huwa haukupi unachokitaka huwa unakupa unachokitafuta
Aiseee 🤣 🤣 🤣 🤣 watu mnamkaziaWewe ndio tatizo,
Tatizo sio mtandao
Mfano ukiwa na nia ya kuvua samaki ziwani ukaambulia kutoka na michanga tatizo litakuwa ziwa au uzembe wako
Kuwa makini kijana wewe ni mpenda kuangalia pilau.
Tumejua😅
Inachagua simu mkuuMbona nilijaribu kujiunga Twitter nilishindwa wakuu nifanyaje
Natumia Google pixel na operation system ni androidInachagua simu mkuu
Pixel ngapiiNatumia Google pixel na operation system ni android