Ni mtandao gani wa kijamii una wanawake wazuri

Ntaingia badoo nijionee hao watoto wa kali

sent using samsung galaxy s8
 
Most smart ladies are not "so" good looking. Yaani wadada wengi walio vizuri "upstairs" muonekano wao sio wa kuvutia kivile.

Sasa uamue mwenyewe, unataka mwanamke mzuri kichwani au maungoni?
 
Tuko sawa basi maana kama mie sijawahi hata kuwaza kujiunga kwenye hizo mitandao zingine yaani huwa nazisikia tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Niliwahi kujaribu Facebook lakini ilinishinda kbs nikaachana nayo, Instagram vilevile niliikimbia baada ya kuona siiwezi. Jf ilichukua zaidi ya miaka mitatu hadi kuamua kuingia kuwa member hata hivyo nawish kuachana nayo hasa baada ya kuacomplish nipasayo kuyafanyia kazi
 
Aiseee. Mie ni Mchumi Mbalizi na nikishawaza bando langu la mawazo basi najiona sina nafasi ya kuwa na mitandao miingi.

Basi najikuta naridhika na jf tu.

Ila wimbo wako huo toka uanze kuuimba Mbalizi mpaka nishaukariri sasa. πŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Aiseee. Mie ni Mchumi Mbalizi na nikishawaza bando langu la mawazo basi najiona sina nafasi ya kuwa na mitandao miingi.

Basi najikuta naridhika na jf tu.

Ila wimbo wako huo toka uanze kuuimba Mbalizi mpaka nishaukariri sasa. [emoji85][emoji85]
Hahaaaa

Kila chenye mwanzo huwa hakikosi mwisho

Lisemwalo lipo kama halipo basi laja[emoji3] [emoji3]
 
Mmmmmmmh. Ulikua na kazi gani huku we kaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…