Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Mie nipo jf tu Kaka Masai.Wewe upo wapi na wapi nikufollow... kwa taarifa zaidi lakini.
Hata Whatssap haupo! hata airtel ?Hahaaa. Mie nipo jf tu Kaka Masai.
Tuko sawa basi maana kama mie sijawahi hata kuwaza kujiunga kwenye hizo mitandao zingine yaani huwa nazisikia tu.Hahahaaaa
Mimi najua jf tu Hajar
Hivi ka Whatsapp pia waeza nifollow eeee? 😜😜😜😜Hata Whatssap haupo! hata airtel ?
Upo nyuma bhana...Lala leo ulifikirie hili usibaki baki nyuma kama korodani za pig.Hivi ka Whatsapp pia waeza nifollow eeee? [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Au mie ndugu yako ndio niko nyuma. [emoji3][emoji3]
Duuh. Yabidi aisee.Upo nyuma bhana...Lala leo ulifikirie hili usibaki baki nyuma kama korodani za pig.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tuko sawa basi maana kama mie sijawahi hata kuwaza kujiunga kwenye hizo mitandao zingine yaani huwa nazisikia tu.
Advance mna likizo ? Au umerudishwa ada ?Jf ina watu tofauti na wenye kujua vitu vingi, naomba tusaidiane.
Ni social network gani ina watoto wakaliii, ikiwezekana na link ueke. Karibuni tupeane mautundu.
sent using samsung galaxy s8
Aiseee. Mie ni Mchumi Mbalizi na nikishawaza bando langu la mawazo basi najiona sina nafasi ya kuwa na mitandao miingi.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Niliwahi kujaribu Facebook lakini ilinishinda kbs nikaachana nayo, Instagram vilevile niliikimbia baada ya kuona siiwezi. Jf ilichukua zaidi ya miaka mitatu hadi kuamua kuingia kuwa member hata hivyo nawish kuachana nayo hasa baada ya kuacomplish nipasayo kuyafanyia kazi
Wewe kweli ni mkulima mkuu 😁😜😜😜AISEE WA JF WAKO VIZURI
HahaaaaAiseee. Mie ni Mchumi Mbalizi na nikishawaza bando langu la mawazo basi najiona sina nafasi ya kuwa na mitandao miingi.
Basi najikuta naridhika na jf tu.
Ila wimbo wako huo toka uanze kuuimba Mbalizi mpaka nishaukariri sasa. [emoji85][emoji85]
Mmmmmmmh. Ulikua na kazi gani huku we kaka?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Niliwahi kujaribu Facebook lakini ilinishinda kbs nikaachana nayo, Instagram vilevile niliikimbia baada ya kuona siiwezi. Jf ilichukua zaidi ya miaka mitatu hadi kuamua kuingia kuwa member hata hivyo nawish kuachana nayo hasa baada ya kuacomplish nipasayo kuyafanyia kazi
Hahahaaa. Andika misemo tu Mbalizi.Hahaaaa
Kila chenye mwanzo huwa hakikosi mwisho
Lisemwalo lipo kama halipo basi laja[emoji3] [emoji3]