Ni mtangazaji gani wa Tv ama Radio anakuvutia?

Hivi polepole naye ni mtangazaji?Maana kuna kipindi chake huwa nakiona chanel kumi.
 
Polepole Ni Mdau Wa Maendeleo Na Ni Professor Wa Sheria Mliman
 
Charles Hilary Si Wa Bbc?
 
Amo Blaze. Wengine wote wanajambajamba tu. Kidogo Millard ayo
 
Dah Kwa Iyo Itv Ndo Bora Kuliko Tbc Mana Wengi Wanatajwa Wa Itv
 
Upande wa Tv sina kwa sababu nilipo tv shida kwa radio namkubali sana Dada Machrin Kamote wa Abood radio.
 
Dotto Bulendu wa Star Tv asubuhi Jumamosi mara nyingi ni nguli la kuhoji nikiwa namsikiliza naona ana tofauti kubwa na wengine.
 
Daah Huyu Mtangazaji Wa Bbc Ana Sauti Murua Sana
 
Huyu Mukhsin Mambo, mtangazaji wa zamani wa Star TV Habari yuko wapi siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…