Ni mtangazaji gani wa Tv ama Radio anakuvutia?

Dina marious wa E-fm...na Scolastica mazula bila kumsahau kuna mdada ana base fulani ana nivutia sana kwenye kutangaza...
 
Ooh yes... Huyo huyo yani nampendaga yule kaka,basi tu
Yaa jamaa yuko vizuri sana ana sauti yenye mvuto na ana uwezo sana....IPP wanajua sana kuibua watangazaji bora sana....
 
Yaa jamaa yuko vizuri sana ana sauti yenye mvuto na ana uwezo sana....IPP wanajua sana kuibua watangazaji bora sana....

Mkuu kuna dogo mmoja anaitwa "Richard Stevine" yupo poa sana kwenye utangazaji! kuna post flan nilikuona unamsifia ila hapa umemsahau!
 
Mkuu kuna dogo mmoja anaitwa "Richard Stevine" yupo poa sana kwenye utangazaji! kuna post flan nilikuona unamsifia ila hapa umemsahau!
Yaaah umenikumbusha kijana yuko vizuri...
 
Kuna mdada mweupe mzuri wa clouds TV 360 yule,iv anaitwa nani? Mwenye info zake nataka nitangaze nia
 
Kuna bint mmoja anachonga sana kwa lafudhi ya ki zenj sijui anaitwa nani,naisikia sauti yake kwenye tangazo la kipindi cha 'twambie' clouds nadhani na pia nilikua namsikiaga akichombeza ktk kipindi cha 'uswazi' bila yeye kuonekana nijulisheni ni nani huyu!?
 
Kwa ITV...Farhia Middle, Magret Cosmas, Spencer Lameck, Sam Mahela....nilimpenda buhehora, lakini tangu amekuwa puppet la ccm, nikisikia sauti yake nazima tv.

Kwa TBC...bwahahahahahah.
 
Mi kwangu Salam Jabir anajua sana , na Seba alikua EA radio jamaa anasauti kali sana Bilakusahau reporter Jonh Maratu wa ITV akimaliza lazima ni cheke kwanza
 
Mwanahamisi Hamadi wa Citizen TV, aisee macho yake yanaita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…