Ni mtangazaji gani wa Tv ama Radio anakuvutia?

Ni mtangazaji gani wa Tv ama Radio anakuvutia?

Jaman ntampataje millard ayo? binafx huyu ndo presenter bora tz
hafu kuna watangazaj wa bbc nao wanankosha....
ila ndoto zangu kufka pale alpofkia millard ayo..Sir God help Me to archive my dreams
 
Hivi polepole naye ni mtangazaji?Maana kuna kipindi chake huwa nakiona chanel kumi.

Ungekuwa karibu haki ya nani.ningekupa zawadi.maana niko pekeeeee yangu lkn.nimecheka saaaaan
 
Hajawahi kutokea kama JOAN ITANISA wa Star tv, sjui huyu mtoto alienda wapi jamani! Nishauliza RFA lakini sikujibiwa!
 
Back
Top Bottom