Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaa jamaa yuko vizuri sana ana sauti yenye mvuto na ana uwezo sana....IPP wanajua sana kuibua watangazaji bora sana....Ooh yes... Huyo huyo yani nampendaga yule kaka,basi tu
Yaa jamaa yuko vizuri sana ana sauti yenye mvuto na ana uwezo sana....IPP wanajua sana kuibua watangazaji bora sana....
Yaaah umenikumbusha kijana yuko vizuri...Mkuu kuna dogo mmoja anaitwa "Richard Stevine" yupo poa sana kwenye utangazaji! kuna post flan nilikuona unamsifia ila hapa umemsahau!
Nikiwasha Itv Na Nikamsikia Farhia Midley Akitangaza Napata Faraja.Natamani Aendelee Kutangaza Na Kutangaza Tu.Kinachonivutia Ni Ile Sauti Yake Na Usomaji Wake.Sijamtamani Nieleweke!! Nasema Napenda Sauti Yake.Je Wewe Umeshawahi Kupenda Kusikia Sauti Ya Mtu Fulani Katika Media Ama Hapo Ulipo??
Mwanahamisi Hamadi wa Citizen TV, aisee macho yake yanaitaNikiwasha Itv Na Nikamsikia Farhia Midley Akitangaza Napata Faraja.Natamani Aendelee Kutangaza Na Kutangaza Tu.Kinachonivutia Ni Ile Sauti Yake Na Usomaji Wake.Sijamtamani Nieleweke!! Nasema Napenda Sauti Yake.Je Wewe Umeshawahi Kupenda Kusikia Sauti Ya Mtu Fulani Katika Media Ama Hapo Ulipo??
Anaitwa Ishaka Kihemba wa Radio ImaanIsika kiemba iman fm