mankizzo
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 247
- 116
Kuna watangazaji wanavutia kuwasikiliza au kuwatazama pindi wanapokuwa wanatoa taarifa au kuongelea jambo fulani.
Kwa upande wangu hawa nawakubali sana, Kuvichaka #Jabilsaleh wa EFM na TV E na Ezden.
Jamaa hawa ni noma, japo Ezden kwasasa sijui yupo wapi.
Tupe wengine.
Kwa upande wangu hawa nawakubali sana, Kuvichaka #Jabilsaleh wa EFM na TV E na Ezden.
Jamaa hawa ni noma, japo Ezden kwasasa sijui yupo wapi.
Tupe wengine.